Kazi ya Kutandika reli ya mradi wa kurefusha Reli ya Weng'an-Machangping yakamilika katika Mkoa wa Guizhou, China (6)

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Novemba 17, 2025
Kazi ya Kutandika reli ya mradi wa kurefusha Reli ya Weng'an-Machangping yakamilika katika Mkoa wa Guizhou, China
Mfanyakazi akionekana kwenye eneo la ujenzi wa daraja kwenye mradi wa kurefusha reli kwa upande wa kusini wa Reli ya Weng'an-Machangping katika Mkoa wa Guizhou, kusini-magharibi mwa China, Novemba 16, 2025. (Xinhua/Yang Wenbin)

Kazi ya kuweka boriti na kutandika reli ya sehemu ya kusini ya mradi wa kurefusha reli kutoka kusini hadi kaskazini wa Reli ya Weng'an-Machangping nchini China imekamilika kwa mafanikio jana Jumapili.

Mradi huo wa kurefusha reli kutoka kusini hadi kaskazini kwa urefu wa kilomita 148 wa Reli ya Weng'an-Machangping ni mradi muhimu wa ujenzi wa reli inaohusiana zaidi na maliasili na mahitaji ya raslimali katika Mkoa wa Guizhou, kusini-magharibi mwa China.

(Wahariri wa tovuti:Liu Mengxue,Renato Lu)

Picha