Lugha Nyingine
Kazi ya Kutandika reli ya mradi wa kurefusha Reli ya Weng'an-Machangping yakamilika katika Mkoa wa Guizhou, China (7)
(Tovuti ya Gazeti la Umma) Novemba 17, 2025
| Picha ikionyesha eneo la ujenzi wa daraja kwenye mradi wa kurefusha reli kwa upande wa kusini wa Reli ya Weng'an-Machangping katika Mkoa wa Guizhou, kusini-magharibi mwa China, Novemba 16, 2025. (Xinhua/Yang Wenbin) |
Kazi ya kuweka boriti na kutandika reli ya sehemu ya kusini ya mradi wa kurefusha reli kutoka kusini hadi kaskazini wa Reli ya Weng'an-Machangping nchini China imekamilika kwa mafanikio jana Jumapili.
Mradi huo wa kurefusha reli kutoka kusini hadi kaskazini kwa urefu wa kilomita 148 wa Reli ya Weng'an-Machangping ni mradi muhimu wa ujenzi wa reli inaohusiana zaidi na maliasili na mahitaji ya raslimali katika Mkoa wa Guizhou, kusini-magharibi mwa China.
(Wahariri wa tovuti:Liu Mengxue,Renato Lu)
Kuhusu Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma



