Mkutano wa 3 wa Wachina wenye Vipaji wanaoishi Ng’ambo kwa Ushirikiano na Maendeleo waanza Fujian (6)

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Desemba 02, 2025
Mkutano wa 3 wa Wachina wenye Vipaji wanaoishi Ng’ambo kwa Ushirikiano na Maendeleo waanza Fujian
Picha hii ikionesha bidhaa za kiutamaduni na ubunifu zikioneshwa kwenye Mkutano wa Tatu wa Wachina wenye Vipaji wanaoishi Ng’ambo kwa Maendeleo mjini Fuzhou, Mkoa wa Fujian, kusini mashariki mwa China, Desemba 1, 2025. (Xinhua/Zhou Yi)

Mkutano wa Tatu wa Wachina wenye Vipaji wanaoishi Ng'ambo kwa Ushirikiano na Maendeleo chini ya kaulimbiu ya "Kuunganisha Nguvu za Wachina wenye Vipaji wanaoishi Ng'ambo, Kuanzisha Zama Mpya kwa Uvumbuzi," umeanza rasmi jana Jumatatu mjini Fuzhou, Mkoa wa Fujian, kusini mashariki mwa China.

(Wahariri wa tovuti:Liu Mengxue,Zhao Jian)

Picha