Tamasha la kukusanya barafu laanza Harbin, Mkoa wa Heilongjiang, China (4)

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Desemba 08, 2025
Tamasha la kukusanya barafu laanza Harbin, Mkoa wa Heilongjiang, China
Wanafunzi wakionyesha kazi zao za sanaa kwenye tamasha la kukusanya barafu la Harbin Mkoani Heilongjiang, kaskazini mashariki mwa China, Desemba 7, 2025. (Xinhua/Wang Song)

Tamasha la sita la kukusanya barafu la Harbin limeanzishwa kando za Mto Songhuajiang siku ya jana Jumapili, likiashiria mwanzo wa msimu wa kukusanya barafu, na kuvutia watu wengi kwa kupitia hafla ya kukusanya barafu na shughuli za kujaribu na kujionea utamaduni wa jadi.

(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)

Picha