Lugha Nyingine
Tamasha la kukusanya barafu laanza Harbin, Mkoa wa Heilongjiang, China (8)
(Tovuti ya Gazeti la Umma) Desemba 08, 2025
![]() |
| Wanakikundi wakikusanya barafu kwenye tamasha la kukusanya barafu la Harbin Mkoani Heilongjiang, kaskazini mashariki mwa China, Desemba 7, 2025. (Xinhua/Zhang Tao) |
Tamasha la sita la kukusanya barafu la Harbin limeanzishwa kando za Mto Songhuajiang siku ya jana Jumapili, likiashiria mwanzo wa msimu wa kukusanya barafu, na kuvutia watu wengi kwa kupitia hafla ya kukusanya barafu na shughuli za kujaribu na kujionea utamaduni wa jadi.
(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)
Kuhusu Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma




