Lugha Nyingine
Swala wa Tibet wa Xizang, China waingia kwenye msimu wa kuzaliana (6)
(Tovuti ya Gazeti la Umma) Desemba 12, 2025
![]() |
| Swala wa Tibet wakionekana kwenye Hifadhi ya kitaifa ya Changtang katika Mkoa unaojiendesha wa Xizang, Desemba 2, 2025. (Xinhua/ Guo Yu) |
Msimu wa baridi ni msimu wa kuzaliana kwa swala wa Tibet, ambao wanalindwa chini ya ulinzi wa ngazi ya kwanza wa kitaifa wa China. Wanyama hao wanaonekana hasa kwenye Mkoa unaojiendeshawa Xizang, Mkoa wa Qinghai na Mkoa Unaojiendesha wa Kabila la Wauygur wa Xinjiang wa China.
(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)
Kuhusu Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma




