Swala wa Tibet wa Xizang, China waingia kwenye msimu wa kuzaliana (8)

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Desemba 12, 2025
Swala wa Tibet wa Xizang, China waingia kwenye msimu wa kuzaliana
Picha ikionesha swala wa Tibet wakitafuta malisho kwenye Hifadhi ya Mlima Altun katika Mkoa Unaojiendesha wa Kabila la Wauygur wa Xinjiang, Desemba 7, 2025. (Xinhua/ Xin Yuewei)

Msimu wa baridi ni msimu wa kuzaliana kwa swala wa Tibet, ambao wanalindwa chini ya ulinzi wa ngazi ya kwanza wa kitaifa wa China. Wanyama hao wanaonekana hasa kwenye Mkoa unaojiendeshawa Xizang, Mkoa wa Qinghai na Mkoa Unaojiendesha wa Kabila la Wauygur wa Xinjiang wa China.

(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)

Picha