Lugha Nyingine
Siku ya Maridhiano yaadhimishwa Pretoria, Afrika Kusini (3)
(Tovuti ya Gazeti la Umma) Desemba 17, 2025
Waafrika Kusini wamesherehekea Siku ya Maridhiano jana Jumanne mjini Pretoria Afrika Kusini. Siku hiyo ambayo iadhimishwa Desemba 16 kila mwaka, awali iliitwa Siku ya Nadhiri nchini Afrika Kusini. Ilibadilishwa jina na kuitwa Siku ya Maridhiano mwaka 1994 baada ya kumalizika kwa ubaguzi wa rangi, kwa nia ya kuhimiza maridhiano na umoja wa kitaifa.
(Wahariri wa tovuti:Liu Mengxue,Zhao Jian)
Kuhusu Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma




