Lugha Nyingine
Ndege wa kuhamahama waonekana katika Ziwa Donggu mkoani Hunan, katikati mwa China (6)
(Tovuti ya Gazeti la Umma) Desemba 22, 2025
![]() |
| Picha hii iliyopigwa Desemba 20, 2025 ikionyesha bata maji tundra wakiruka juu ya Ziwa Donggu katika Mji wa Yueyang, Mkoa wa Hunan, katikati mwa China. (Xinhua/Chen Zhenhai) |
Ziwa Donggu likiwa ni sehemu muhimu ya ukanda wa kiikolojia wa Ziwa Dongting katika Mji wa Yueyang, Mkoa wa Hunan, katikati mwa China, kila mwezi Novemba linakaribisha idadi kubwa ya ndege wa kuhamahama wanaotua kwenye ziwa hilo kwa ajili ya kushinda majira ya baridi.
Katika miaka ya hivi karibuni, miradi ya jumla ya ulinzi na urejesho wa ikolojia imekuwa ikifanywa katika eneo hilo. Juhudi hizo, ikiwa ni pamoja na kusafisha ziwa, kuongeza vyanzo vya chakula, na kurejesha mimea asilia ya huko, zimeboresha kwa udhahiri makazi ya ndege hao wa kuhamahama.
(Wahariri wa tovuti:Liu Mengxue,Zhao Jian)
Kuhusu Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma




