Lugha Nyingine
Reli ya Mwendokasi ya Guangzhou-Zhanjiang yazinduliwa Kusini mwa China (5)
(Tovuti ya Gazeti la Umma) Desemba 23, 2025
![]() |
| Treni ya mwendokasi ikipita kwenye sehemu ya njia ya reli iliyofunikwa kwa vifaa vya kuzuia kelele kwenye Reli ya Mwendokasi ya Guangzhou-Zhanjiang katika Mkoa wa Guangdong, kusini mwa China, Desemba 22, 2025. (Picha na Li Jiashan/Xinhua) |
Reli hiyo ya Mwendokasi ya Guangzhou-Zhanjiang yenye urefu wa kilomita 401 imezinduliwa rasmi jana Jumatatu.
Reli hiyo iliyosanifiwa kupitisha treni za kuendeshwa kwa kasi ya kikomo ya kilomita 350 kwa saa, inaweza kupunguza muda wa kusafiri kuwa saa moja na nusu kutoka Stesheni ya Reli ya Baiyun ya Guangzhou hadi Stesheni ya Kaskazini ya Reli ya Zhanjiang, zote zilizopo katika Mkoa wa Guangdong.
(Wahariri wa tovuti:Liu Mengxue,Zhao Jian)
Kuhusu Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma




