Reli ya Mwendokasi ya Guangzhou-Zhanjiang yazinduliwa Kusini mwa China

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Desemba 23, 2025
Reli ya Mwendokasi ya Guangzhou-Zhanjiang yazinduliwa Kusini mwa China
Abiria wanaoelekea kupanda treni ya kwanza ya Reli ya Mwendokasi ya Guangzhou-Zhanjiang wakipiga picha kwenye Stesheni ya Reli ya Bayun mjjii Guangzhou, Mkoa wa Guangdong, kusini mwa China, Desemba 22, 2025. (Xinhua/Lu Hanxin)

Reli hiyo ya Mwendokasi ya Guangzhou-Zhanjiang yenye urefu wa kilomita 401 imezinduliwa rasmi jana Jumatatu.

Reli hiyo iliyosanifiwa kupitisha treni za kuendeshwa kwa kasi ya kikomo ya kilomita 350 kwa saa, inaweza kupunguza muda wa kusafiri kuwa saa moja na nusu kutoka Stesheni ya Reli ya Baiyun ya Guangzhou hadi Stesheni ya Kaskazini ya Reli ya Zhanjiang, zote zilizopo katika Mkoa wa Guangdong.

(Wahariri wa tovuti:Liu Mengxue,Zhao Jian)

Picha