Kijiji cha Sanaa chasaidia kuhimiza ustawishaji wa mji mdogo wa Kuangyan, China (4)

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Desemba 25, 2025
Kijiji cha Sanaa chasaidia kuhimiza ustawishaji wa mji mdogo wa Kuangyan, China
Picha iliyopigwa Desemba 24, 2025 ikionesha kazi ya sanaa kwenye karakana ya vyombo vya kauri katika Kijiji cha Sanaa cha mji mdogo wa Kuangyan, Mkoa wa Zhejiang, China.

Katika miaka ya hivi karibuni, mji mdogo wa Kuangyan ulijenga kijiji cha sanaa kinachohusisha shughuli za utalii na utamaduni, ili kuendeleza uchumi wa eneo la kijiji na kuhimiza ustawishaji wa vijiji.

(Xinhua/Xu Yu)

(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)

Picha