Lugha Nyingine
Kijiji cha Sanaa chasaidia kuhimiza ustawishaji wa mji mdogo wa Kuangyan, China
(Tovuti ya Gazeti la Umma) Desemba 25, 2025
![]() |
| Picha iliyopigwa Desemba 24, 2025 ikionesha kwenye Kijiji cha Sanaa kilichoko mji mdogo wa Kuangyan, Mkoa wa Zhejiang, China, mfundi akitengeneza sanaa kwa mikono. |
Katika miaka ya hivi karibuni, mji mdogo wa Kuangyan ulijenga kijiji cha sanaa kinachohusisha shughuli za utalii na utamaduni, ili kuendeleza uchumi wa eneo la kijiji na kuhimiza ustawishaji wa vijiji.
(Xinhua/Xu Yu)
(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)
Kuhusu Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma




