Wilaya ya Zhaosu ya Kaskazini Magharibi mwa China yaendeleza huduma za utalii wa majira ya baridi ili kuvutia watembeleaji (6)

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Januari 04, 2026
Wilaya ya Zhaosu ya Kaskazini Magharibi mwa China yaendeleza huduma za utalii wa majira ya baridi ili kuvutia watembeleaji
Watu wakipiga picha kwenye bustani yenye mandhari ya barafu na theluji katika Wilaya ya Zhaosu, Eneo Linalojiendesha la Kabila la Wakazak la Ili, Mkoa Unaojiendesha wa Kabila la Wauygur wa Xinjiang, kaskazini magharibi mwa China, Januari 3, 2026. (Xinhua/Hu Huhu)

Kwa kutumia rasilimali zake za kipekee za barafu na theluji wakati wa majira ya baridi, Wilaya ya Zhaosu katika Eneo Linalojiendesha la Kabila la Wakazak la Ili, Mkoa Unaojiendesha wa Kabila la Wauygur wa Xinjiang, kaskazini magharibi mwa China imeendeleza huduma mbalimbali za utalii wa majira ya baridi ili kuvutia watembeleaji.

(Wahariri wa tovuti:Liu Mengxue,Zhao Jian)

Picha