Lugha Nyingine
Wilaya ya Zhaosu ya Kaskazini Magharibi mwa China yaendeleza huduma za utalii wa majira ya baridi ili kuvutia watembeleaji (8)
(Tovuti ya Gazeti la Umma) Januari 04, 2026
![]() |
| Picha iliyopigwa Januari 3, 2026 ikionyesha mandhari ya eneo la kupiga kambi kwenye hifadhi ya ardhi oevu katika Wilaya ya Zhaosu, Eneo Linalojiendesha la Kabila la Wakazak la Ili, Mkoa Unaojiendesha wa Kabila la Wauygur wa Xinjiang, kaskazini magharibi mwa China. (Xinhua/Hu Huhu) |
Kwa kutumia rasilimali zake za kipekee za barafu na theluji wakati wa majira ya baridi, Wilaya ya Zhaosu katika Eneo Linalojiendesha la Kabila la Wakazak la Ili, Mkoa Unaojiendesha wa Kabila la Wauygur wa Xinjiang, kaskazini magharibi mwa China imeendeleza huduma mbalimbali za utalii wa majira ya baridi ili kuvutia watembeleaji.
(Wahariri wa tovuti:Liu Mengxue,Zhao Jian)
Kuhusu Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma




