Bata maji wa kuhamahama zaidi ya 6,000 wawasili kwa wingi Rongcheng, China kufurahia majira ya baridi (6)

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Januari 06, 2026
Bata maji wa kuhamahama zaidi ya 6,000 wawasili kwa wingi Rongcheng, China kufurahia majira ya baridi
Bata maji wanaoshinda majira ya baridi wakionekana kwenye eneo la maji la mji mdogo wa Lidao wa Mji wa Rongcheng, Mkoa wa Shandong, mashariki mwa China, Januari 5, 2026. (Xinhua/Xu Suhui)

Bata maji wanaohamahama zaidi ya 6,000 wamewasili kwa wingi huko Rongcheng, Mkoa wa Shandong, mashariki mwa China ili kushinda hali ya majira ya baridi.

(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)

Picha