Wanyamapori wakiwa kwenye Hifadhi ya Taifa ya Amboseli ya Kenya (7)

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Januari 09, 2026
Wanyamapori wakiwa kwenye Hifadhi ya Taifa ya Amboseli ya Kenya
Picha hii iliyopigwa Januari 8, 2026 ikimwonyesha ndege ya pelican na flamingo wawili kwenye Hifadhi ya Taifa ya Amboseli nchini Kenya. (Xinhua/Xie Jianfei)

Hifadhi ya Taifa ya Amboseli ni moja ya maeneo bora ya safari za likizo nchini Kenya na eneo maarufu kwa kutembelewa na watalii duniani. Hifadhi hiyo inapatikana kwenye mpaka kati ya Kenya na Tanzania na iko sehemu ya chini ya mlima mrefu zaidi barani Afrika, Mlima Kilimanjaro.

(Wahariri wa tovuti:Liu Mengxue,Zhao Jian)

Picha