Mizigo inayosafirishwa kupitia Bandari ya Tangshan, China yaongezeka kwa asilimia 2.53 kutoka mwaka jana (3)

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Januari 14, 2026
Mizigo inayosafirishwa kupitia Bandari ya Tangshan, China yaongezeka kwa asilimia 2.53 kutoka mwaka jana
Picha iliyopigwa Januari 13, 2026 ikionyesha meli kubwa, inayosaidiwa na boti za kuvuta, ikitia nanga kwenye gati la madini la Eneo la Bandari ya Caofeidian katika Bandari ya Tangshan mjini Tangshan, Mkoa wa Hebei, kaskazini mwa China. (Xinhua/Yang Shiyao)

Bandari ya Tangshan katika Mji wa Tangshan, Mkoa wa Hebei, kaskazini mwa China imeshuhudia jumla ya tani milioni 883.99 za mizigo iliyosafirishwa kupitia bandari hiyo katika mwaka 2025, ikiwakilisha ongezeko la asilimia 2.53 ikilinganishwa na kipindi cha mwaka uliotangulia wa 2024.

(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)

Picha