Maonyesho yanayoonyesha ustaarabu wa Dola ya Shu ya kale yaanza Beijing (5)

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Januari 19, 2026
Maonyesho yanayoonyesha ustaarabu wa Dola ya Shu ya kale yaanza Beijing
Mtembeleaji akitazama nakala ya sanamu ya shaba nyeusi kwenye maonyesho ya "Ustaarabu wa Dola ya Shu ya Kale kwenye Magofu ya Sanxingdui na Jinsha" katika Jumba la Makumbusho la Kitaifa la China mjini Beijing, Januari 18, 2026. (Xinhua/Jin Liangkuai)

Maonyesho ya "Ustaarabu wa Dola ya Shu ya Kale kwenye Magofu ya Sanxingdui na Jinsha" yameonesha vitu (seti) zaidi ya 200 vya mabaki ya kale ya kitamaduni, ambavyo vimeonyesha ustaarabu wa Dola ya Shu katika China ya zama za kale. Maonesho hayo yameanza rasmi mjini Beijing jana Jumapili na yataendelea hadi Agosti 18.

(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)

Picha