Lugha Nyingine
Maonyesho yanayoonyesha ustaarabu wa Dola ya Shu ya kale yaanza Beijing (7)
(Tovuti ya Gazeti la Umma) Januari 19, 2026
![]() |
| Watembeleaji wakitazama kinyago cha dhahabu cha kuvaliwa usoni kwenye maonyesho ya "Ustaarabu wa Dola ya Shu ya Kale kwenye Magofu ya Sanxingdui na Jinsha" katika Jumba la Makumbusho la Kitaifa la China mjini Beijing, Januari 18, 2026. (Xinhua/Jin Liangkuai) |
Maonyesho ya "Ustaarabu wa Dola ya Shu ya Kale kwenye Magofu ya Sanxingdui na Jinsha" yameonesha vitu (seti) zaidi ya 200 vya mabaki ya kale ya kitamaduni, ambavyo vimeonyesha ustaarabu wa Dola ya Shu katika China ya zama za kale. Maonesho hayo yameanza rasmi mjini Beijing jana Jumapili na yataendelea hadi Agosti 18.
(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)
Kuhusu Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma




