Lugha Nyingine
Mji wa Shenzhen, China waleta teknolojia mpya za kisasa kwa wanunuzi kupitia namna mpya za kununua bidhaa (4)
(Tovuti ya Gazeti la Umma) Januari 21, 2026
![]() |
| Wateja wakijaribu bidhaa za kielektroniki kwenye duka kinara la inno100 katika Eneo la Nanshan la Shenzhen, Mkoa wa Guangdong, kusini mwa China, Januari 18, 2026 (Xinhua/Mao Siqian) |
Katika siku za hivi karibuni, maduka kadhaa ya rejareja ya bidhaa za teknolojia yamefunguliwa kwenye maeneo mengi ya biashara ya Mji wa Shenzhen, kusini mwa China. Ndani ya maduka hayo, wanunuzi wanaweza kujaribu bidhaa za kielektroniki za teknolojia mahiri za kisasa kama vile roboti za AI zenye umbo la binadamu, uchapishaji wa 3D, na miwani za teknolojia mahiri za kisasa.
Shenzhen, mji ambao uko mstari wa mbele wa teknolojia mahiri za kisasa nchini China, unaunda namna mpya za kununua bidhaa, ukileta teknolojia mpya za kisasa kwa wanunuzi.
(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)
Kuhusu Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma




