Hafla ya kuwasha taa za Tamasha la 40 la Taa za Jadi la Qinhuai yafanyika Nanjing, China (5)

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Januari 22, 2026
Hafla ya kuwasha taa za Tamasha la 40 la Taa za Jadi la Qinhuai yafanyika Nanjing, China
Mapambo ya taa yanayoonyeshwa katika eneo la kivutio cha watalii la Hekalu la Confucius kwenye Tamasha la 40 la Taa za Jadi la Qinhuai mjini Nanjing, Mkoa wa Jiangsu, mashariki mwa China, Januari 21, 2026. (Picha/VCG)

Hafla ya kuwasha taa za Tamasha la 40 la Taa za Jadi la Qinhuai imefanyika jana Jumatano katika Bustani ya Bailuzhou iliyoko mjini Nanjing, Mkoa wa Jiangsu, Mashariki mwa China. Tamasha hilo linaweza kutembelewa katika maeneo kadhaa ya maonyesho karibu na mto Qinhuai katika mji huo wa Nanjing.

(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)

Picha