Lugha Nyingine
ChinaVumbuzi | Ujenzi wa handaki mbili kwenye njia ya sabwe umekamilika kwa mafanyikio ya kutoshuka kwa udongo katika mji wa Qingdao (3)
(Tovuti ya Gazeti la Umma) Januari 23, 2026
![]() |
| Wajenzi wanasubiri njia ya kulia ya handaki kukamilika kwenye kisima cha kupokea kwenye Kituo cha Sifangchang katika njia ya No.5 ya sabwe Januari 21, mji wa Qingdao. (Xinhua/Li Ziheng) |
Mnamo Tarehe 21, Januari, handaki mbili katika sehemu ya njia ya nambari 5 ya sabwe, ambayo ni kati ya Kituo cha Ruichanglu hadi Kituo cha Sifangchang mjini Qingdao zimekamilika.
Sehemu hii ilikuwa na matatizo mengi ya kijiolojia, ujenzi wake ulihitaji kupita eneo la njia ya Reli ya Jiaozhou-Jinan, barabara ya juu ya makutano, na maeneo ya makazi ya watu wengi. Hali hii ilileta matakwa makali kwa usalama wa ujenzi na ulinzi wa mazingira ya pembezoni mwa njia hiyo ya sabwe.
Wakati wa kuchimba handaki, shinikizo na uhimizaji wa kasi ya uendeshaji wa kazi vilidhibitiwa kwa makini na usahihi, hivyo havikusababisha hali ya jiolojia ya kushuka au kuhama, na kutimiza kwa mafanikio lengo la "kutoshuka kwa udongo (zero-subsidence)".
(Wahariri wa tovuti:Liu Mengxue,Zhao Jian)
Kuhusu Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma




