Lugha Nyingine
Pato la pamoja la kiuchumi la Mkoa wa Sichuan na Mji wa Chongqing, China lazidi yuan trilioni 10 (7)
(Tovuti ya Gazeti la Umma) Januari 27, 2026
![]() |
| Picha hii iliyopigwa Julai 28, 2025 ikionyesha kiwanda cha kutumia teknolojia za kidijitali na AI cha Kundi la Kampuni za Magari la Changan la China kwa ajili ya gari linalotumia nishati mpya la AVATR, mjini Chongqing, kusini magharibi mwa China. (Xinhua/Chen Cheng) |
Takwimu zilizotolewa hivi karibuni na mamlaka husika za serikali ya China zinaonesha kuwa pato la pamoja la kiuchumi la Mkoa wa Sichuan na Mji wa Chongqing, kusini magharibi mwa China limezidi yuan trilioni 10 (dola za Marekani takribani trilioni 1.44) katika mwaka 2025, likichukua asilimia takriban 7.2 ya jumla ya lile la nchi nzima.
(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)
Kuhusu Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma




