Lugha Nyingine
Treni ya kwanza ya mwendokasi inayounganisha Miji ya Yan'an na Beijing, China yaanza kutoa huduma (4)
(Tovuti ya Gazeti la Umma) Januari 27, 2026
Treni ya mwendokasi No. G359 imeondoka Yan'an katika Mkoa wa Shaanxi, kaskazini magharibi mwa China jana Jumatatu asubuhi, ikimaanisha uwepo wa njia ya kwanza ya moja kwa moja ya reli ya mwendokasi kutoka eneo hilo la historia ya mapinduzi ya China hadi Beijing.
Safari hiyo ya treni ya mwendokasi ya kasi zaidi kutoka Yan'an hadi Beijing inachukua saa tano na dakika 42, hali ambayo ni maboresho makubwa ikilinganishwa na treni iliyokuwa ikitoa huduma awali.
(Wahariri wa tovuti:Liu Mengxue,Zhao Jian)
Kuhusu Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma




