Lugha Nyingine
ChinaVumbuzi | Jumba la Makumbusho ya Sayansi na Teknolojia la Shanghai, China lazindua upimaji wa msongo wa uendeshaji baada ya uboreshaji wa kimfumo (2)
(Tovuti ya Gazeti la Umma) Januari 28, 2026
![]() |
| Watembeleaji wakipeana mikono na roboti kwenye Jumba la Makumbusho ya Sayansi na Teknolojia la Shanghai, mashariki mwa China, Januari 27, 2026 (Xinhua/Fang Zhe) |
Jumba la Makumbusho ya Sayansi na Teknolojia la Shanghai, mashariki mwa China limezindua upimaji wake wa msongo wa uendeshaji jana Jumanne baada ya miaka zaidi ya miwili ya uboreshaji wa kimfumo, huku baadhi ya watembeleaji na waandishi wa vyombo vya habari wakialikwa kutembelea.
Jumba hilo litaanza ufunguaji wake wa majaribio kwa umma kulitembelea wakati wa Sikukuu ya Mwaka Mpya wa Jadi wa China.
(Wahariri wa tovuti:Liu Mengxue,Zhao Jian)
Kuhusu Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma




