Idara za reli zafanya ukarabati kwa ajili ya pilika za safari za Mwaka Mpya wa Jadi wa China 2026 (7)

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Januari 30, 2026
Idara za reli zafanya ukarabati kwa ajili ya pilika za safari za Mwaka Mpya wa Jadi wa China 2026
Wafanyakazi wa Kundi la Kampuni la Shirika la Reli la China Tawi la Nanning wakifanya kazi ya ukarabati katika Mkoa Unaojiendesha wa Kabila la Wazhuang wa Guangxi, kusini mwa China, Januari 29, 2026. (Xinhua/Zhang Ailin)

BEIJING - Idara za reli kote nchini China zinafanya matengenezo na ukarabati wa treni kwa bidii ili kuhakikisha uendeshaji salama wakati wa pilika zijazo za safari za Mwaka Mpya wa Jadi wa China 2026.

(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)

Picha