Idara za reli zafanya ukarabati kwa ajili ya pilika za safari za Mwaka Mpya wa Jadi wa China 2026

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Januari 30, 2026
Idara za reli zafanya ukarabati kwa ajili ya pilika za safari za Mwaka Mpya wa Jadi wa China 2026
Mfanyakazi akifanya kazi ya ukarabati kwenye karakana ya treni za mwendo-kasi, Nanjing, Mkoa wa Jiangsu, mashariki mwa China, Januari 28, 2026. (Picha na Yang Suping/Xinhua)

BEIJING - Idara za reli kote nchini China zinafanya matengenezo na ukarabati wa treni kwa bidii ili kuhakikisha uendeshaji salama wakati wa pilika zijazo za safari za Mwaka Mpya wa Jadi wa China 2026.

(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)

Picha