Wanakijiji wafurahia tamasha la Sikukuu ya Mwaka Mpya wa Jadi katika Kijiji cha Shenshan, Jiangxi, China (3)

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Februari 03, 2026
Wanakijiji wafurahia tamasha la Sikukuu ya Mwaka Mpya wa Jadi katika Kijiji cha Shenshan, Jiangxi, China
Mwanakijiji akionyesha bidhaa ya shambani katika kusanyiko la sherehe kwenye tamasha la Mwaka Mpya wa Jadi katika Kijiji cha Shenshan, Mji wa Jinggangshan wa Mkoa wa Jiangxi, mashariki mwa China, Februari 1, 2026. (Xinhua/Zhou Mi)

Wakati sikukuu ya Mwaka Mpya wa Jadi wa China inapokaribia, Kijiji cha Shenshan katika Mji wa Jinggangshan kimefanya tamasha la Mwaka Mpya wa Jadi ambalo liliwaalika wakazi kutoka wilaya saba zilizo karibu katika Mkoa wa Jiangxi na Mkoa wa Hunan w China kushiriki.

(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)

Picha