Shughuli za Siku ya Kuanza kwa Majira ya Mchipuko Zafanyika sehemu mbalimbali nchini China (2)

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Februari 05, 2026
Shughuli za Siku ya Kuanza kwa Majira ya Mchipuko Zafanyika sehemu mbalimbali nchini China
Msanii wa sanaa ya kukata karatasi akiwafundisha watoto ujuzi wa kukata karatasi kwenye shughuli ya Siku ya "Lichun" yaani siku ya kuanza kwa majira ya mchipuko, ndani ya jengo la maduka mengi katika Mji wa Dingxi, Mkoa wa Gansu, kaskazini magharibi mwa China, Februari 4, 2026. (Picha na Wang Kexian/Xinhua)

Jana Jumatano Februari 4, 2026 ilikuwa ni siku ya kuanza rasmi kwa kipindi cha "Lichun," yaani Majira ya Mchipuko, ambacho ni kipindi cha kwanza kati ya vipindi 24 vya mwaka kwenye kalenda ya kilimo ya China. Katika siku hiyo muhimu kwa Wachina, shughuli nyingi za kijadi zimefanyika katika sehemu mbalimbali nchini China. 

(Wahariri wa tovuti:Liu Mengxue,Zhao Jian)

Picha