Lugha Nyingine
Shughuli za Siku ya Kuanza kwa Majira ya Mchipuko Zafanyika sehemu mbalimbali nchini China (7)
(Tovuti ya Gazeti la Umma) Februari 05, 2026
![]() |
| Waandishi wa maandishi ya Kichina wakiandika neno "Fu", maana yake ni Baraka na Neema, na mabango ya Sikukuu ya Mwaka Mpya wa Jadi kwa wakazi na watalii kwenye shughuli ya Siku ya "Lichun" katika Eneo la Gulou la Nanjing, Mkoa wa Jiangsu, mashariki mwa China, Februari 4, 2026. (Picha na Zhao Qirui/Xinhua) |
Jana Jumatano Februari 4, 2026 ilikuwa ni siku ya kuanza rasmi kwa kipindi cha "Lichun," yaani Majira ya Mchipuko, ambacho ni kipindi cha kwanza kati ya vipindi 24 vya mwaka kwenye kalenda ya kilimo ya China. Katika siku hiyo muhimu kwa Wachina, shughuli nyingi za kijadi zimefanyika katika sehemu mbalimbali nchini China.
(Wahariri wa tovuti:Liu Mengxue,Zhao Jian)
Kuhusu Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma




