Lugha Nyingine
Habari picha: Kituo cha Tembo Yatima jijini Nairobi, Kenya (10)
(Tovuti ya Gazeti la Umma) Februari 27, 2026
![]() |
| Tembo akionekana katika picha kwenye Kituo cha Tembo Yatima jijini Nairobi, Kenya, Februari 26, 2026. (Xinhua/Geng Xinning) |
Kituo cha tembo yatima, kilichopo nje kidogo ya Jiji la Nairobi, Kenya hutibu na kuokoa tembo "yatima" katika hifadhi mbalimbali za mazingira ya asili nchini Kenya. Kupitia matibabu na mafunzo, siku hadi siku hurejesha uwezo wa tembo walioathiriwa na mambo ya mazingira ya asili na ya kibinadamu ili kuwasaidia kurudisha hali ya kuweza kuwa mwituni na kuishi kwa kujitegemea.
(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)
Kuhusu Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma




