Habari picha: Kituo cha Tembo Yatima jijini Nairobi, Kenya (5)

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Februari 27, 2026
Habari picha: Kituo cha Tembo Yatima jijini Nairobi, Kenya
Mhifadhi akimlisha tembo kwenye Kituo cha Tembo Yatima jijini Nairobi, Kenya, Februari 26, 2026. (Xinhua/Geng Xinning)

Kituo cha tembo yatima, kilichopo nje kidogo ya Jiji la Nairobi, Kenya hutibu na kuokoa tembo "yatima" katika hifadhi mbalimbali za mazingira ya asili nchini Kenya. Kupitia matibabu na mafunzo, siku hadi siku hurejesha uwezo wa tembo walioathiriwa na mambo ya mazingira ya asili na ya kibinadamu ili kuwasaidia kurudisha hali ya kuweza kuwa mwituni na kuishi kwa kujitegemea.

(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)

Picha