Soko la AI laanzishwa kabla ya Mkutano wa 9 wa Mambo ya Kidijitali wa China mkoani Fujian (4)

(Tovuti ya Gazeti la Umma) April 29, 2026
Soko la AI laanzishwa kabla ya Mkutano wa 9 wa Mambo ya Kidijitali wa China mkoani Fujian
Picha iliyopigwa Aprili 28, 2026 ikionesha Kituo cha Mikutano na Maonyesho ya Kimataifa cha Mlango-Bahari cha Fuzhoumkoani Fujian, kusini mashariki mwa China. (Xinhua/Lin Shanchuan)

Soko la AI limeanziswa rasmi jana Jumanne kwenye Kituo cha Mikutano na Maonyesho ya Kimataifa cha Mlango-Bahari cha Fuzhou katika Mji wa Fuzhou, Mkoa wa Fujian, kusini mashariki mwa China, kabla ya Mkutano wa 9 wa Mambo ya Kidijitali wa China ambao utafanyika Fuzhou kuanzia tarehe 29 hadi 30 mwezi huu.

(Wahariri wa tovuti:Liu Mengxue,Zhao Jian)

Picha