Lugha Nyingine
Soko la AI laanzishwa kabla ya Mkutano wa 9 wa Mambo ya Kidijitali wa China mkoani Fujian
(Tovuti ya Gazeti la Umma) April 29, 2026
Soko la AI limeanziswa rasmi jana Jumanne kwenye Kituo cha Mikutano na Maonyesho ya Kimataifa cha Mlango-Bahari cha Fuzhou katika Mji wa Fuzhou, Mkoa wa Fujian, kusini mashariki mwa China, kabla ya Mkutano wa 9 wa Mambo ya Kidijitali wa China ambao utafanyika Fuzhou kuanzia tarehe 29 hadi 30 mwezi huu.
(Wahariri wa tovuti:Liu Mengxue,Zhao Jian)
Kuhusu Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma




