Wachina wafurahia muda wa mapumziko katika vivutio vya utalii wakati wa Sikukuu ya Wafanyakazi (6)

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Mei 05, 2026
Wachina wafurahia muda wa mapumziko katika vivutio vya utalii wakati wa Sikukuu ya Wafanyakazi
Watalii wanatembelea Eneo la Mandhari la Maporomoko ya Maji ya Detian katika Wilaya ya Daxin ya Mji wa Chongzuo, Mkoa Unaojiendesha wa Kabila la Wazhuang wa Guangxi, kusini mwa China, Mei 4, 2026. (Picha na Zhao Jingwu/Xinhua)

Watu kote nchini China walitoka nje kufurahia muda wao wa mapumziko ya Sikukuu ya Wafanyakazi.

(Wahariri wa tovuti:Liu Mengxue,Zhao Jian)

Picha