Wachina wafurahia muda wa mapumziko katika vivutio vya utalii wakati wa Sikukuu ya Wafanyakazi (8)

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Mei 05, 2026
Wachina wafurahia muda wa mapumziko katika vivutio vya utalii wakati wa Sikukuu ya Wafanyakazi
Picha hii iliyopigwa Mei 4, 2026 inaonyesha watu wakitembelea Ziwa Xuanwu katika mji wa Nanjing, Mkoa wa Jiangsu, mashariki mwa China. (Picha na Shi Jun/Xinhua)

Watu kote nchini China walitoka nje kufurahia muda wao wa mapumziko ya Sikukuu ya Wafanyakazi.

(Wahariri wa tovuti:Liu Mengxue,Zhao Jian)

Picha