Lugha Nyingine
Wachina wafurahia muda wa mapumziko katika vivutio vya utalii wakati wa Sikukuu ya Wafanyakazi
(Tovuti ya Gazeti la Umma) Mei 05, 2026
![]() |
| Picha hii inaonyesha watalii wakitembelea Njia ya Zhongshan katika mji wa Nanning, Mkoa Unaojiendesha wa Kabila la Wazhuang wa Guangxi, kusini mwa China, Mei 3, 2026. (Picha na Liu Zheng/Xinhua) |
Watu kote nchini China walitoka nje kufurahia muda wao wa mapumziko ya Sikukuu ya Wafanyakazi.
(Wahariri wa tovuti:Liu Mengxue,Zhao Jian)
Kuhusu Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma




