Wachina wafurahia muda wa mapumziko katika vivutio vya utalii wakati wa Sikukuu ya Wafanyakazi (7)

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Mei 05, 2026
Wachina wafurahia muda wa mapumziko katika vivutio vya utalii wakati wa Sikukuu ya Wafanyakazi
Picha hii inaonyesha watalii wakitembelea mji wa kale wa Huishan katika mji wa Wuxi, Mkoa wa Jiangsu, mashariki mwa China, Mei 3, 2026. (Picha na Zhou Shegen/Xinhua)

Watu kote nchini China walitoka nje kufurahia muda wao wa mapumziko ya Sikukuu ya Wafanyakazi.

(Wahariri wa tovuti:Liu Mengxue,Zhao Jian)

Picha