Watu wa sehemu mbalimbali nchini China waadhimisha Siku ya Mama (2)

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Mei 11, 2026
Watu wa sehemu mbalimbali nchini China waadhimisha Siku ya Mama
Msichana akimkumbatia mama yake mzazi katika Wilaya ya Eryun ya Eneo Linalojiendesha la Kabila la Wabai la Dali, Mkoa wa Yunnan, kusini magharibi mwa China, Mei 10, 2026. (Picha na Luo Xincai/Xinhua)

Watu wa sehemu mbalimbali nchini China wamewatakia heri na baraka mama zao kwa njia mbalimbali tofauti wakati wa kuadhimisha Siku ya Mama Duniani ya Tarehe10 Mei.

(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)

Picha