Watu wa sehemu mbalimbali nchini China waadhimisha Siku ya Mama (3)

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Mei 11, 2026
Watu wa sehemu mbalimbali nchini China waadhimisha Siku ya Mama
Watoto wakikumbatia mama zao ambao wakivalia na kujifanya kama "akina mama wa miaka thelathini baadaye" kwenye shughuli yenye mada ya Siku ya Mama katika shule ya chekechea, Wilaya ya Boxing ya Mji wa Binzhou, Mkoa wa Shandong, mashariki mwa China, Mei 10, 2026. (Picha na Chen Bin/Xinhua)

Watu wa sehemu mbalimbali nchini China wamewatakia heri na baraka mama zao kwa njia mbalimbali tofauti wakati wa kuadhimisha Siku ya Mama Duniani ya Tarehe10 Mei.

(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)

Picha