Watu wa sehemu mbalimbali nchini China waadhimisha Siku ya Mama (5)

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Mei 11, 2026
Watu wa sehemu mbalimbali nchini China waadhimisha Siku ya Mama
Msichana akiweka postikadi kwa ajili ya mama yake ndani ya sanduku la barua kwenye kituo cha burudani ya mzazi na mtoto katika Mji wa Xiangyang, Mkoa wa Hubei, katikati mwa China, Mei 10, 2026. (Picha na Yang Dong/Xinhua)

Watu wa sehemu mbalimbali nchini China wamewatakia heri na baraka mama zao kwa njia mbalimbali tofauti wakati wa kuadhimisha Siku ya Mama Duniani ya Tarehe10 Mei.

(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)

Picha