Mwalimu Aliyejitolea Kuwasaidia Wasichana Vijijini Kupata Elimu na Ujuzi kwa Kutimiza Ndoto Zao (2)

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Juni 08, 2026
Mwalimu Aliyejitolea Kuwasaidia Wasichana Vijijini Kupata Elimu na Ujuzi kwa Kutimiza Ndoto Zao
Zhang Guimei, mkuu wa Shule ya Sekondari ya Juu ya Wasichana ya Huaping, akila chakula cha mchana na wanafunzi ndani ya kantini ya shule, huko Lijiang, Mkoa wa Yunnan, kusini magharibi mwa China, Juni 7, 2026. (Xinhua/Hu Chao)

Mtihani wa kitaifa wa China wa kuendelea na masomo katika chuo kikuu wa mwaka huu, umeanza rasmi jana Jumapili kote nchini China. Katika Shule ya Sekondari ya Juu ya Wasichana ya Huaping, Zhang Guimei mwenye umri wa miaka 69, ambaye ni mkuu wa shule hiyo, amekuwa akiwaaga wanafunzi kwenda kwenye mtihani huo wa kuendelea na masomo katika chuo kikuu kwa miaka 16 mfululizo tangu kundi la kwanza la wahitimu wa shule hiyo waliofanya mtihani huo mwaka 2011.

Zhang, mkuu wa shule hiyo ya wasichana katika maeneo ya milimani ya Mkoa wa Yunnan, kusini magharibi mwa China amejitolea kusaidia wasichana wa vijijini kupata elimu na ujuzi ili kuboresha maisha yao na kutimiza ndoto.

(Wahariri wa tovuti:Liu Mengxue,Zhao Jian)

Picha