Lugha Nyingine
Mwalimu Aliyejitolea Kuwasaidia Wasichana Vijijini Kupata Elimu na Ujuzi kwa Kutimiza Ndoto Zao (8)
![]() |
| Wanafunzi wa Shule ya Sekondari ya Juu ya Wasichana ya Huaping ya Lijiang wakitoa salamu za kuwatakia kila la kheri watahiniwa kabla ya mtihani wa kuendelea na masomo katika chuo kikuu, Juni 7, 2026. (Xinhua/Hu Chao) |
Mtihani wa kitaifa wa China wa kuendelea na masomo katika chuo kikuu wa mwaka huu, umeanza rasmi jana Jumapili kote nchini China. Katika Shule ya Sekondari ya Juu ya Wasichana ya Huaping, Zhang Guimei mwenye umri wa miaka 69, ambaye ni mkuu wa shule hiyo, amekuwa akiwaaga wanafunzi kwenda kwenye mtihani huo wa kuendelea na masomo katika chuo kikuu kwa miaka 16 mfululizo tangu kundi la kwanza la wahitimu wa shule hiyo waliofanya mtihani huo mwaka 2011.
Zhang, mkuu wa shule hiyo ya wasichana katika maeneo ya milimani ya Mkoa wa Yunnan, kusini magharibi mwa China amejitolea kusaidia wasichana wa vijijini kupata elimu na ujuzi ili kuboresha maisha yao na kutimiza ndoto.

Meli kubwa ya kitalii ya pili kuundwa ndani ya China yakamilisha jaribio la kwanza la baharini

Hifadhi ya Taifa ya Kruger ya Afrika Kusini yaadhimisha miaka 100

Nishati ya kijani yahimiza maendeleo yenye sifa bora katika Mkoa wa Xizang, China

Madaraja ya matao yenye mapaa ya mbao yahifadhiwa vizuri katika Mkoa wa Fujian, China
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma
