Mji wa Cangzhou, China wajenga ukanda wa kitamaduni wa Mfereji Mkuu ili kuendeleza tasnia za utamaduni na utalii (2)

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Juni 09, 2026
Mji wa Cangzhou, China wajenga ukanda wa kitamaduni wa Mfereji Mkuu ili kuendeleza tasnia za utamaduni na utalii
Watu wakitazama burudani kwenye Mtaa wa Kale wa Nanchuan kando ya sehemu ya Cangzhou ya Mfereji Mkuu wa China, Mkoani Hebei, kaskazini mwa China, Juni 5, 2026. (Xinhua/Zhou Yi)

Mfereji Mkuu wa China ukiunganisha Beijing na mji wa Hangzhou wa Mkoa wa Zhejiang mashariki mwa China, ukipitia Mji wa Cangzhou wa Mkoa wa Hebei, kaskazini mwa China, ni njia ndefu zaidi ya maji duniani ya kutengenezwa na binadamu.

Sehemu ya Cangzhou ya mfereji huo ina urefu wa kilomita 216. Katika miaka ya hivi karibuni, mji wa Cangzhou umefanya juhudi za kujenga ukanda wa kitamaduni wa Mfereji Mkuu, na kuhimiza maendeleo jumuishi ya tasnia za utamaduni na utalii.

(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)

Picha