Lugha Nyingine
Mji wa Cangzhou, China wajenga ukanda wa kitamaduni wa Mfereji Mkuu ili kuendeleza tasnia za utamaduni na utalii (6)
Mfereji Mkuu wa China ukiunganisha Beijing na mji wa Hangzhou wa Mkoa wa Zhejiang mashariki mwa China, ukipitia Mji wa Cangzhou wa Mkoa wa Hebei, kaskazini mwa China, ni njia ndefu zaidi ya maji duniani ya kutengenezwa na binadamu.
Sehemu ya Cangzhou ya mfereji huo ina urefu wa kilomita 216. Katika miaka ya hivi karibuni, mji wa Cangzhou umefanya juhudi za kujenga ukanda wa kitamaduni wa Mfereji Mkuu, na kuhimiza maendeleo jumuishi ya tasnia za utamaduni na utalii.

Meli kubwa ya kitalii ya pili kuundwa ndani ya China yakamilisha jaribio la kwanza la baharini

Hifadhi ya Taifa ya Kruger ya Afrika Kusini yaadhimisha miaka 100

Nishati ya kijani yahimiza maendeleo yenye sifa bora katika Mkoa wa Xizang, China

Madaraja ya matao yenye mapaa ya mbao yahifadhiwa vizuri katika Mkoa wa Fujian, China
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma
