Lugha Nyingine
Wanakijiji wa mashariki mwa China washona vipochi kuonesha vilivyo uhifadhi wa mila na desturi za utamaduni wa jadi wa Sikukuu ya Duanwu (3)
(Tovuti ya Gazeti la Umma) Juni 18, 2026
![]() |
| Mwanakijiji akishona vipochi vya mitishamba katika Kijiji cha Xucun cha Wilaya ya Shexian ya Mji wa Huangshan, Mkoa wa Anhui, mashariki mwa China, Juni 10, 2026. (Picha na Shi Yalei/Xinhua) |
Katika Kijiji cha Xucun cha Mkoa wa Anhui chenye historia ya miaka elfu moja, wanakijiji wa familia zote wamekuwa wakishikilia mila na desturi za utamaduni kizazi hadi kizazi, kila ifikapo Sikukuu ya Duanwu, wazee na wazazi wa watoto wanawapa watoto wao viatu vilivyoshonwa vya vichwa kama vya Chui na vipochi vilivyoshonwa vya mitishamba ili watoto wavae, na kuwatakia kila la kheri katika ukuaji wao na maisha yao.
Hadi sasa, bado kuna wanakijiji wengi hapa wanaoshikilia kushona vitu hivyo kwa mikono. Wakishona viatu na vipochi hivyo wanahifadhi ubora wa utamaduni wa kijiji hicho cha kale, pia wanataka kufanya ufundi wa jadi kujulikana kwa watu wengi zaidi.
(Wahariri wa tovuti:Liu Mengxue,Zhao Jian)
Kuhusu Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma




