AI yawa mada motomoto kwenye Jukwaa la Davos katika Mji wa Dalian, Kaskazini Mashariki mwa China (3)

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Juni 25, 2026
AI yawa mada motomoto kwenye Jukwaa la Davos katika Mji wa Dalian, Kaskazini Mashariki mwa China
Mshiriki akishikana mikono na roboti kwenye Mkutano wa 17 wa Mwaka wa Mabingwa Wapya, katika Kituo cha Mikutano ya Kimataifa cha Dalian katika Mkoa wa Liaoning, kaskazini mashariki mwa China, Juni 24, 2026. (Xinhua/Pan Yulong)

DALIAN – Mkutano wa 17 wa Mwaka wa Mabingwa Wapya, ambao pia unajulikana kama Jukwaa la Davos la Majira ya Joto, ulifanyika mjini Dalian, China kuanzia tarehe 23 hadi 25 mwezi huu chini ya mada kuu "Uvumbuzi wa Kiwango Kikubwa". Mada zaidi ya 30 zinazohusu AI na roboti zilijadiliwa katika hali motomoto kwenye jukwaa hilo la mwaka huu.

(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)

Picha