Ndege No. C919 iliyoundwa na China yenyewe yaendesha njia mpya kati ya Beijing na Yan'an (5)

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Juni 25, 2026
Ndege No. C919 iliyoundwa na China yenyewe yaendesha njia mpya kati ya Beijing na Yan'an
Wahudumu wa ndege No. CA1279 ya Shirika la Ndege la China wakiwakabidhi abiria zawadi za ukumbusho kabla ya safari ya ndege hiyo katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Beijing Capital, China, Juni 24, 2026. (Xinhua/Zhang Yuwei)

Shrika la Ndege la China jana Jumatano lilianza rasmi kutumia ndege No. C919 iliyoundwa na China yenyewe kwenye njia mpya inayounganisha Mji wa Beijing na Yan'an katika Mkoa wa Shaanxi, kaskazini magharibi mwa China.

Hadi sasa, shirika hilo la ndege limeshafungua njia kadhaa za anga kutoka Beijing hadi maeneo ya zamani ya mapinduzi kama vile Jinggangshan, Zunyi na Yan'an, likipanga kutoa safari za ndege 260 kila wiki, ili kuingiza msukumo katika maendeleo ya maeneo hayo.

(Wahariri wa tovuti:Liu Mengxue,Zhao Jian)

Picha