Lugha Nyingine
Roboti za AI zafunzwa katika mazingira ya ulimwengu-halisi mjini Shanghai, China (2)
(Tovuti ya Gazeti la Umma) Agosti 06, 2026
Ndani ya kampuni za teknolojia za Mji wa Shanghai, China kama vile AGIBOT na Maniformer, roboti za AI zinafunzwa katika mazingira halisi ya kazi za nyumbani, uuzaji wa rejareja, uchambuzi vitu, uzalishaji na mazingira mengine ya ulimwengu-halisi, ili kuendeleza uwezo wao wa AI kwa matumizi katika maisha-halisi.
(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)
Kuhusu Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma




